World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mnahesabu algeria nayo africa? Hivi mnawajua hawa watu hawa? Mliona libya ilivyokuwa kwa watu wenye ngozi nyeusi..the way walivyokuwa treated.basi tu itabidi kwakuwa kwenye ramani inaonyesha ni wamoja lakini ......ni zaid ya ujuavyo..
 
yaani timu za africa utumbo mtupu...wanawaza kujipodoa tu na kunyoa mitindo kama wacheza viduku...mxxxxuiii
 
Timu zote zilizopo juu kabla ya WC14 kuanza,ni timu ambazo zilitumika kama kofia ili kupata makundi,hivyo hakuna cha ubaguzi wala nini?
 
Ukweli ni kuwa Nigeria jana walionyesha kiwango duni sana.
Timu waliyocheza nayo Iran ilikuwa dhaifu mno na haikujipanga.
Hata hivyo Naija waliishia na papara za butua butua, ukosefu wa mbinu huku kila mmoja akitaka kufunga.
Hali hiyo inaonyesha kiwango chao ni duni na hawawezi kufika round of 16.
Hitimisho ni kuwa kocha wao sio mzuri !
 
algeria ndio timu bora ya africa, subirini leo muone muziki wake,,hii timu itafika mbali sana
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Hahahahaha umezikimbia mechi nyingine na kuichagua hiyo rahisi πŸ™‚πŸ™‚ pamoja na hayo hujaweka magoli lol!!!! πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Mie utabiri wangu Belgium 3 Algeria 2, Brazil 3 Mexico 1 na Russia 2 Korea 1

Hee leo BAK mechi ya pili nimepania lol nataka mexico warudi kwao wakale taccos. ...hii ya algeria ikinipita ubihadithie
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Hahahahaha umezikimbia mechi nyingine na kuichagua hiyo rahisi πŸ™‚πŸ™‚ pamoja na hayo hujaweka magoli lol!!!! πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Mie utabiri wangu Belgium 3 Algeria 2, Brazil 3 Mexico 1 na Russia 2 Korea 1

yule turtle wa kibrazil aliyewatabiria kushinda mechi na croatia leo kawatabiria wanafungwa na mexico
 
Wanajua ataishia nafasi ya pilis tu katika round hii.

Wakati wa kupanga makundi kuna vitu vilizingatiwa, kulikuwa na kinara wa kundi ambazo ni timu 8 zilizoteuliwa kwa vigezo ambavyo FIFA wanavijua wao. Kisha kila timu iliyochaguliwa katika droo ilipachikwa katika kundi bila kujali orodha ya alfabeti au ubora wake mchezoni.
 
Hawa Algeria sijawahi kuwaona, nimesoma baadhi ya comments za watu wanaisifia, ngoja tuone itakavyokuwa ila Belgium wana timu nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…