Wachezaji nao wananyoa viduku tu hawana lolote...mxxxxxx
#team algeria.
Hivi hawa watu 2010 hawakufunga hata goal moja.
Yaani 28 years leo ndo wanafunga goal la kwanza
Tangu WC 2014 imeanza na penalty zote kutoka hii ya Algeria ndo penalty bora kwangu
Nlifkir mechi ya mwanzo itanipita ndio naamka sasa.....tuendelee na utabiri
Belgiun 2-algeria 1
Brazil 3-mexico 1
Hiyo ya warusi niache ntatabir baadae....
Haya andaa macho gemu yaanza soon alafu weye timu nani yakheeee usiniambie ni spain ntakununia lol
Jana naijeria waliniacha hoi kila wakipata mpira ni kukimbizana kama wanakimbiza mwizi.Timu nyingi huwa hazielewi kuwa siku zote raha ya mechi bao hatutaki chenga sisi mabao tuuuu.
Hawa wanatakiwa tuwapiga kitu cha pili watulie zao
yule turtle wa kibrazil aliyewatabiria kushinda mechi na croatia leo kawatabiria wanafungwa na mexico
hawa nchi za kiarabu wana uzalendo sana siyo hizi timu za kusini mwa jangwa la sahara. huwezi kuona hana siku moja wanaulizia posho.