World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kosa watakalofanya Brazil ni kukubali kuanza kufungwa
 
Dani alves katengeneza nywele kawa kama mzungu sijui anaogopa kurushiwa ndizi tena!!
 
Mpaka hapa Hili kombe ni la UHOLANZI,Brazil kumbe wachovu namna hii
 
Brazil wanakosa goli hapa. Kadi ya njano kwa Ramirez.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…