rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
hawa brazil wamebadilika tofauti na match ya juzi.
Wanajua Mexico ni vigogo wao kwa ukanda huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa brazil wamebadilika tofauti na match ya juzi.
Hii game ngumu
Haya bhana.umeona golikipa wa mexico?eti anamuiga Buffon.ngoja dogo atupie tena tuone kama atamzuia.
Dakika ya 40 mambo bado yaleyale nyavu zimegoma kutikiswa!
Hahahaaah,,,,,,hata huko huwa wanarusha ndizi?Dani alves katengeneza nywele kawa kama mzungu sijui anaogopa kurushiwa ndizi tena!!
Brazil watafute striker huyu Fred hapana
Team mexico foreverteam brazil foreverrrrrrr