Watakuwa wanatengenezwa,,,,,,huyu kipa anajua.Hivi mexico wanatoa wapi hawa magolikipa?
Brazil wanakosa goli hapa. Kadi ya njano kwa Ramirez.
Team mexico forever
Brazil leo kashikwa sio siri.
Kipindi cha pili Mexico wanakuja kumaliza kazi.Mexico piga hilo timu la mashabiki maandazi goli 2 kavu nitaburudika sana.
Hahahaaah,,,,,,hata huko huwa wanarusha ndizi?
Kipindi cha pili Mexico wanakuja kumaliza kazi.
Ha ha ha haaah.....kweli wale wehu balaa.Ha! Wazungu wehu wale hawajali kwamba upo kwenu!
asia na africa kweny qualify wacheze kama bara moja
Brazil leo kashikwa sio siri.