Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawashindi hii mechi kabisa, wanapigwa.Ingawa Brazil watashinda hii mechi na kuwa timu ya kwanza kuingia last 16, hainipi tumaini la kuchukua hili kombe. Kulingana na baadhi ya timu tulizoziona hadi sasa, Brazil ni nyepesi mwaka huu!
Na ametusikia amemuweka BernardItabid scolari afanye hicho k2 fast ht kbl mamb hyjw mby
Kushinda watashinda ingawa kwa goli 1Hawashindi hii mechi kabisa, wanapigwa.
Ingawa Brazil watashinda hii mechi na kuwa timu ya kwanza kuingia last 16, hainipi tumaini la kuchukua hili kombe. Kulingana na baadhi ya timu tulizoziona hadi sasa, Brazil ni nyepesi mwaka huu!
Brazil hamna kitu kabisa.Brazil hamtoi team yyt ya Ulaya Magharibi,hata hawa Spain wanao geuzwa mboga na Holland anamfunga Brazil comfortably!Brazil hii ni aibu kabisa na hata mechi ya kwanza ni refa tu aliwapa points 3!!
Nakuhakikishia Brazil huyu akutane na Croatia labda nusu fainali na Manduhuzic ndani ni aibu kubwa itawapata
Na ametusikia amemuweka Bernard
Huyu jamaa ni mbongo kabisa,alikuwa anachezea farudume ya manzese,anaitwa ramadhani lakini kitaa manzese alikuwa anajulikana kama rama lazi kutokana na ukichwa ngumu wake watu wakasema ana radhi ya mama yake ndio maana akaitwa ramalazi lakini kazamia brazil huko anaitwa ramirez
Hakuna droo Brazil anapigwaNa Brazil asipoangalia hii mechi ataambulia droo au atapigwa kamoja.
Kushinda watashinda ingawa kwa goli 1
FT, Brazil 0-1 Mexico
Herrara