World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kuna timu ni muhimu ziendelee kuwep kenye mwshindano hadi mwisho ili kuongeza ladha ya michuano....Mf Brazil
 
Nasema hivi. brazil kwa mpira huu wasahau kuhusu kuchukua ubingwa.
So far hakuna foward kama RVP na Roben.
 
Ramirez ana damu ya kibongo kabisa
Huyu jamaa ni mbongo kabisa,alikuwa anachezea farudume ya manzese,anaitwa ramadhani lakini kitaa manzese alikuwa anajulikana kama rama lazi kutokana na ukichwa ngumu wake watu wakasema ana radhi ya mama yake ndio maana akaitwa ramalazi lakini kazamia brazil huko anaitwa ramirez
 
Ingawa Brazil watashinda hii mechi na kuwa timu ya kwanza kuingia last 16, hainipi tumaini la kuchukua hili kombe. Kulingana na baadhi ya timu tulizoziona hadi sasa, Brazil ni nyepesi mwaka huu!
 
Nasema hivi. brazil kwa mpira huu wasahau kuhusu kuchukua ubingwa.
So far hakuna foward kama RVP na Roben.

Brazil hamtoi team yyt ya Ulaya Magharibi,hata hawa Spain wanao geuzwa mboga na Holland anamfunga Brazil comfortably!Brazil hii ni aibu kabisa na hata mechi ya kwanza ni refa tu aliwapa points 3!!

Nakuhakikishia Brazil huyu akutane na Croatia labda nusu fainali na Manduhuzic ndani ni aibu kubwa itawapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…