TONGONI
Mkuu ni matumaini yangu kabla ya kujisajili na JF ulizisoma Sheria za JF
Kama ulizisoma ulikutana na ujumbe huu hutakiwi:
Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani
Sasa wewe mbona unafanya tofauti na Sheria zetu?
Kuhusu Mada yako ulijaribu kuwasiliana na Mod yeyote kuhusu Mada yako?
Hujui Njia za kuwasiliana na Mods?
**Mada hii ibakie kwa lengo na madhumuni yake** sio sehemu ya kuleta malalamiko