Aingie Chicharito hapa awatungue brazil.
Kakulia Italy wakati dingi wake akicheza Basketball. Nasikia aliwahi kucheza utotoni, pia ana urafiki na mastar wengi wa soka, Ronaldinho,TH14,Beckam etc
mtapigwa muda si mrefu.Napatwa na hofu kwa hii sub ya chicharito
Jipe matumaini.
Brazil anapigwa hapa.
Naona chicha kaingia, tutarajie goal punde.