World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Naona chicha kaingia, tutarajie goal punde.
 
Kakulia Italy wakati dingi wake akicheza Basketball. Nasikia aliwahi kucheza utotoni, pia ana urafiki na mastar wengi wa soka, Ronaldinho,TH14,Beckam etc


Ohh nilikuwa sijui hiyo

Chicharito sasa hivi atawanyanyua watu lol
 
Huyu refa kuna zawadi maalumu amewaandalia waBRAZIL sema muda bado haujafika lazima awape tu.
 
Mexicans noma, haya mashuti can make someone to have an or.gasm
 
ImageUploadedByJamiiForums1403037118.108818.jpgleo zamu ya kuku!
 
Back
Top Bottom