World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kulaleki wabongo huwa mnasema mpira sio nguvu, angalieni misuli inavyowekwa katika hii mechi. Golikipa wa Mexico anazidi kuwaokoa, angekuwa yule wa Ivory Coast leo ingekuwa kumi
 
wakati mchezo wa brazil na mexico unaendelea nje watu wanadhibitiwa na mabomu ya machozi
 
Leo Brazil hawako vizuri kabisa,,,,,



Anatakiwa kubadilika Huyu big Fill!

Ona sasa kachelewa sn kumuingiza Willian !


Maana km kungekua na Neymar, Willian Na Bernald na Jo pale mbele kungekua vzr!

Duh Huyu Kipa aje Chelsea!
 
Anatakiwa kubadilika Huyu big Fill!

Ona sasa kachelewa sn kumuingiza Willian !


Maana km kungekua na Neymar, Willian Na Bernald na Jo pale mbele kungekua vzr!

Duh Huyu Kipa aje Chelsea!
Ninyi kipa si mnaye yule wa atletico madrid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…