Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Karibu sana tunazo dk takribani 10 tuanze kugawa dozi ya uhakika
Nishajongea mkuu!
Tanesco washachukua umeme wao mitaa ya tangi bovu
Tanesco washachukua umeme wao mitaa ya tangi bovu
Nimemaliza kumsikiliza Dr.Leakey sasa nahamia Tbc kucheki game.
Nipo uholanzi baadae chile.
Camerun apigwe tu.
Hakuna kushabihiana kati ya waholanzi na waaustralia,
waholanzi wataonesha kwamba, kuitwanga spain hawakubahatisha kwakumtwanga Australia
Wapi sijui hata naenda kuangalia mpira, ni shidaa aisee.
tbc wako busy na bunge mkuu!
Karibu TVM-1 huku wanasema muito bem ....Tbc wanaonesha wazinguaji waliopo pale katikati ya nchi.
Ngoja nihamie Mozambique.
Hawa wapo makini sio hii tbc yetu.nimehamia tbc ya mozambique.