World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nimemaliza kumsikiliza Dr.Leakey sasa nahamia Tbc kucheki game.

Nipo uholanzi baadae chile.

Camerun apigwe tu.
 
Tanesco washachukua umeme wao mitaa ya tangi bovu
 
Wapi sijui hata naenda kuangalia mpira, ni shidaa aisee.
 
Hakuna kushabihiana kati ya waholanzi na waaustralia,

waholanzi wataonesha kwamba, kuitwanga spain hawakubahatisha kwakumtwanga Australia

Uko poa? Aisee mkuu mi nipo bado on the road tujulishane yanayojiri
 
Wapi sijui hata naenda kuangalia mpira, ni shidaa aisee.

Wanakata umeme muda mbaya, wakati chama lako ndio linacheza

Ila sio mbaya kwasababu Australia wanashinda utakuwa huja huja miss kitu
 
Back
Top Bottom