Hongera aisee, ww timu gani? Mi sina timu hapa ila napenda ashinde Holland.Nimepak mapema, dk ya 13 0-0
Australia wanajitutumua na vifaul vya hapa na pale wamekaza kwelikweli.
Australia wananipa shinikizo la damu aise
Waholanzi wameshikwa.
Australia ni nguvu ya soda au? kama wakikomaa hivi mpaka mwisho tunaweza kuona matokeo ya ajabu leo