World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Australia wananipa shinikizo la damu aise

ha ha ha aah,,,,,,,,tatizo wanaweza wakalegea baadae hawa australia, lakini wakikaza wataleta kilio kwenu. Lakini usihofu first aid kit ipo na madakatari wapo.........
 
Roben anakosakosa kunyosha mkwaju hapa mpira umekua mwingi
 
Roben keshaanza kupeleka kilio huko Australia,kama kawaida anafungisha tela kijiji.
 
Back
Top Bottom