Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
ni nguvu ya soda,,,,,,,,,Robben ameharibu sasa.
Fact:Tanzania haijawahi kufungwa hata goli moja kwenye fainali za kombe la dunia tangu tupate uhuru.
Goooo australia wanasawazisha hapa duu
Mpira ni mkali sana jamani waliokosa kuangalia mtakoma
Uholanzi 1 Australia 1
Mpira ni mkali sana jamani waliokosa kuangalia mtakoma
Uholanzi 1 Australia 1
Tuwaone
#shabikiJina
#Wajivuni
#wanaovutiwa
#wakongwe
#tumboJoto
#shabikidamu
Hahahahhaha
#teamCahil
Hujambo shemeji?umeshaisha ama
Mpira ni mkali sana jamani waliokosa kuangalia mtakoma
Uholanzi 1 Australia 1