Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Fact:Mrisho Ngasa,Wayne Rooney,Kipre Tcheche na Emanuel Okwi hawajawahi kufunga hata goli la kuotea kwenye World Cup.
Hujambo shemeji?
Mmmh Ngasa yupi?Fact:Mrisho Ngasa,Wayne Rooney,Kipre Tcheche na Emanuel Okwi hawajawahi kufunga hata goli la kuotea kwenye World Cup.
Ha ha ha haaah,,,,,,,,,hizi statistics sio, hao wengine hawajawahi kushiriki huenda wangekuwa wamefunga.Fact:Mrisho Ngasa,Wayne Rooney,Kipre Tcheche na Emanuel Okwi hawajawahi kufunga hata goli la kuotea kwenye World Cup.
Hongera aisee, ww timu gani? Mi sina timu hapa ila napenda ashinde Holland.
Tuwaone
#shabikiJina
#Wajivuni
#wanaovutiwa
#wakongwe
#tumboJoto
#shabikidamu
Hahahahhaha
#teamCahil
Ha ha ha haaah,,,,,,,,,hizi statistics sio, hao wengine hawajawahi kushiriki huenda wangekuwa wamefunga.
Mkuu wewe ni dokta liki, nimekukubali, saluti kwako
sijambo Shem dakika ya ngapi
Much respect
Hapa ni #teamCahil haiwezekani tutoke patupu
nipo holland kwakweli