World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Van Gaal kabadili sana kikosi chake leo!!Beki ya leo mzozo

Siyo leo tu, hata siku ile na Spain, Spain wenyewe ndo mdebwedo, wakikutana na timu za Amerika ya kusini naamini Holland wanapaswa wawe makini vinginevyo ushindi wa bwerere hamna
 
Timu pekee yenye mabao mengi mpka sasa, hongera the Holland
 
Hongera Holland kwa kuwa timu ya kwanza kwa kufanikiwa kusonga mbele

kaka hakuna timu imesonga mbele. unajua spain akishinda leo na game ya mwisho halfu chile naye ashinde game yake ya mwisho na holland wote watatu watakuwa na point 6 kila mmoja? sema holland wapo jirani na kusonga mbele. holland wanatakiwa waombe chile amfunge spain ndiyo watakuwa wamesonga mbele kwa sasa BADO holland HAJAFUZU.
 
kaka hakuna timu imesonga mbele. unajua spain akishinda leo na game ya mwisho halfu chile naye ashinde game yake ya mwisho na holland wote watatu watakuwa na point 6 kila mmoja? sema holland wapo jirani na kusonga mbele



Yeah my bad ... "technically" Holland hawajafuzu bado

Ila hakuna maajabu hayo yatakayotokea kuizuia Holland kuingia second round
 
Yeah my bad ... "technically" Holland hawajafuzu bado

Ila hakuna maajabu hayo yatakayotokea kuizuia Holland kuingia second round

Hhaahahahahah. ngoja tukanywe maji kidogo turudi tuone kama spain atatetea kombe lake mbele ya chile
 
Taifa star?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kipa akiwa Cassi hamumfungi Chile

kocha wa spain amesema anachezesha kikosi kile kile ila kawaambia wachezaji kwa sasa wajijue wenyewe yeye hayumo wakitolewa mapema. naona gaemu wataikamia sana ila chile watawaduwaza spain na ndiyo hapo watachanganyikiwa zaidi. spain wangecheza mpira mzuri ikiwa game yao ingekuwa kabla ya ile ya holland. kwa sasa wanaingia uwanjani kana kwamba wanazitafuta point 6 mechi moja kitu ambacho ni kigumu sana kwa kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…