World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kina Drogba si wanawatoeni matongotongo... au Mechi zao hamjaziona Usiku mnene...
 
Umesema kweli mkuu,
Ila mimi honestly hadi sasa sijaona team inapiga mpira kama ghana, sema ndio hivo mpira ni magoli mwisho wa siku ila that youngest team kwenye hii tournament that is ghana,
Are the best, kama uliona game yao na usa
 
nikiambiwa niandike simu ya maneno,ntaandika hivi"CHILE TIMU PIGA HAO 5PAIN WIKI WAKALALE KWAO.Dullyjr"
 
Back
Top Bottom