World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ngoja namimi niwe upande wako team chile............Tatizo hukeshi!!!!

Ya pili nipo, saa 7 niko hatiani, nishawishi basi nichepuke!! Unajua inauma ukeshe halafu ufungwe kama ile juzi ya Ghana!
 
binafsi nimeumia sana kwa hii timu ta watoto wa malkia. kwa kweli wamejituma sana kitimu na walistahili kusonga mbele hatua ya mtoano ila mechi ya kwanza imewaharibia.

Kabisa walistahili kuingia kumi na sita bora hawa!
 
cristiano ronaldo is out of the world cup due to tendonisis.source bein sports.
 
Wimbo wa taifa wa chile naupenda sana ingawaje siuelewi wakifikaga katikati wanapandaga mzuka hadi raha yaani!!
 
Back
Top Bottom