Van Gaal kabadili sana kikosi chake leo!!Beki ya leo mzozo
Siyo leo tu, hata siku ile na Spain, Spain wenyewe ndo mdebwedo, wakikutana na timu za Amerika ya kusini naamini Holland wanapaswa wawe makini vinginevyo ushindi wa bwerere hamna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Van Gaal kabadili sana kikosi chake leo!!Beki ya leo mzozo
Hongera Holland kwa kuwa timu ya kwanza kwa kufanikiwa kusonga mbele
Pole sanaaaaa
Hongera Holland kwa kuwa timu ya kwanza kwa kufanikiwa kusonga mbele
kaka hakuna timu imesonga mbele. unajua spain akishinda leo na game ya mwisho halfu chile naye ashinde game yake ya mwisho na holland wote watatu watakuwa na point 6 kila mmoja? sema holland wapo jirani na kusonga mbele
Kipindi cha pili tunakuja kumaliza kazi kwa kuwafunga waholanzi,,,,,,,,,,2-1:
No yet kaka,watavuka tu kama Chile atapata point kutoka kwa Spain aliyejeruhiwa
Hahahaaah,,,,,,,kauli imejifuta automatically.Mkuu vp? naona mpira umeshaisaha. utafuta kauli au?
#teamChile tunawafungashia virago #team5pain baadae.
Yeah my bad ... "technically" Holland hawajafuzu bado
Ila hakuna maajabu hayo yatakayotokea kuizuia Holland kuingia second round
#teamChile tunawafungashia virago #team5pain baadae.
Kipa akiwa Cassi hamumfungi Chile