Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Me too.Nipo Chile leo.
Nipo Chile leo.
Mdau mwenzangu nina uhakika umetumia lugha ya balagha.
Tim Chile,Spain ndege inawasubiri waende kwao wakafurahie summer
Hahahahaha! Hawa Australia walistahili kufuzu ktk hili kundi, miundumbinu waliyotumia kwenye gemu ya chile imewaponza coz naamini kabisa gemu na spain watachukua point 3
Hongereni #teamHolland kwa kufuzu hatua ya pili.
Vipi wameshika nafasi ya 7?ha ha ha
ya kwani vp wako wazuritaifa star?
Sent from my blackberry 8520 using jamiiforums
Hahahah mkuu Skype leo ushindi lazima
Hapana, siwapi nafasi ya ushindi japo mnatoa kaupinzani uchwara nina uhakika mtapokea kichapo cha 3-2.