World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tim Chile,Spain ndege inawasubiri waende kwao wakafurahie summer
 
Mdau mwenzangu nina uhakika umetumia lugha ya balagha.

Hahahahaha! Hawa Australia walistahili kufuzu ktk hili kundi, miundumbinu waliyotumia kwenye gemu ya chile imewaponza coz naamini kabisa gemu na spain watachukua point 3
 
Chile XI vs Spain: Bravo (c), Mena, Jara, Medel, Isla, Aranguiz, Silva, Dias, Sanchez, Vidal, Vargas
 
Hahahahaha! Hawa Australia walistahili kufuzu ktk hili kundi, miundumbinu waliyotumia kwenye gemu ya chile imewaponza coz naamini kabisa gemu na spain watachukua point 3

binafsi nimeumia sana kwa hii timu ta watoto wa malkia. kwa kweli wamejituma sana kitimu na walistahili kusonga mbele hatua ya mtoano ila mechi ya kwanza imewaharibia.
 
Mpaka sasa timu moja imeshatolewa

Mechi hii timu ya pili inaaga mashindano
 
Hahaaa #teamHolland saafiii? Ajan roben saafii? Van p je? Mtasanda sana mwaka huu msioipenda Holland ngoja niwaletee kitu nilichokitabiri mapemaaa.. Katavi mambo?

Jamani mlisemaje vile hapa chini?

Hahahah mkuu Skype leo ushindi lazima

Nami niliwajibuje vile? Hahaaa.... Hebu nisomeni tena
Hapana, siwapi nafasi ya ushindi japo mnatoa kaupinzani uchwara nina uhakika mtapokea kichapo cha 3-2.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom