wametoka ngapi ngapi mkuuduh australia wako vizuri
Na ile mechi ya tatu Simba wasiofugika wanaaga!Mpaka sasa timu moja imeshatolewa
Mechi hii timu ya pili inaaga mashindano
#TeamChile nyoosha mikono juu
Uholanzi tumejihakikishia nafasi ya kupenya
Hatapata huyu.
Tim Chile,Spain ndege inawasubiri waende kwao wakafurahie summer
Thomas Muller kaka,huyu mtoto anaondoka tena na kiatu chake nahisi
Kaka haujaliona bado bao la RVP?
na mara nne mfululizo hajawahi kumfunga mexico
Ulikuwa wapi,watu wameshafunga virago,sasa Spain nae anajiandaa kufangasha,leo hakuna kulalaWe mrembo hujalala?
Uko fasta sana Bro,keep it up.