Wameshazeeka haoCarzola, Mata, Fabregas, hivi hizi mashine ziko wapi huenda zikawaokoa hawa watu.
Inaelekea kichapo kinakuhusuHuyu kocha wa spain mbuzi kweli....hataki kufanya mabadiliko while kuna watu wanachemsha live....namna hii kipigo ni haki....
World cup ya kipekee hii aisee gutierez upo?
Spain wana gundu gani....dah!
Haya mpendwa,Mechi ya pili hiii Spain na Chile,Chile anaongoza 2 kwa ziro ya Spain
Badala ya "Don't Cry for Me Argentina Leo Itakua "Don't cry for me Spain"
pole sana mkuu, bora ulivyolala.....dah mpira usikilizie tu ngoma ikikataa ni noma sana
Kwani DeGea yupo wapi masikini Casillas