World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

eti leo ndio kabadili kikosi tim hata haichezi bora ata xavi halafu fabregas nae ana umuhimu wake nawasikitikia sana!
 
Goli l pili...
1403121010020_lc_galleryImage_RIO_DE_JANEIRO_BRAZIL_JUN.JPG
 
Spain ni timu pekee ambayo imefungwa magoli mengi. mpaka sasa imefungwa magoli7.
Na bado.
 
Kumuacha Jesus Navas na kukumbatia wazee hii dhambi wacha imtafune bosque, kama Fabregas, Carzola, wakiingia nao aibu itawafika duuuh
 
Tim Cahill ana goli 5 za World Cup...anawazidi wenye majina combined yaani Messi 2, Ronaldo 2, na Rooney 0 ktk history ya World Cup so far.

What a shame!

Roger Milla naye ana goli 5...mwaka 1990 alipiga 4 Italy na 1994 akapiga 1 Marekani.
 
Heshima zote za mzee wa watu Del bosque kimataifa na kimataifa zinapotelea brazil

Mzee huyu aweza kufa kwa pressure...........
 
Back
Top Bottom