Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau France 2002?Kama Spain watafungwa leo, itakuwa ni mara ya kwanza kwa watetezi wa Kombe la Dunia kuwa wa kwanza kutolewa.
Kama Spain watafungwa leo, itakuwa ni mara ya kwanza kwa watetezi wa Kombe la Dunia kuwa wa kwanza kutolewa.
Adiós España han puesto vergüenzaVicente Del Bosque...!
Spain out!
Italy yangu nayo uchezaji wake hauniridhishi..
Kwani Australia hawajaaga?
Mpaka sasa Spain imeshafungwa jumla ya Mabao Saba....
Hivi wachezaji wa Spain kwa nini wakipiga chenga wanamsubiria adui aliyempiga chenga aje amkabe tena? au ndo mafundisho yao.
TATIANA huko spain?Mtani wangu Bantu lady nani kamficha?
najua mmoja Germany.....am still working on opponent....
#teamItaly sina shaka nayo, ubingwa mwaka huu wao.Ucjali mkuu, umemuona pirlo alivyofit? Muulize mkuu katavi atakwambia.
Heshima zote za mzee wa watu Del bosque kimataifa na kimataifa zinapotelea brazil
Mzee huyu aweza kufa kwa pressure...........
France 2002 naye hakuvuka raundi ya kwanza na hakushinda mechi
Portugal, England na Spain watoke tu,
Bora tubaki na viteam vyetu vidogo