EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
2012 ufaransa hawakutolewa katika hatua hii?
Kwani walikuwa watetezi? Italy ilishinda fainali za 2006 na France walitolewa mapema fainali za 2010.
Watetezi Italy walitolewa kwenye group stages fainali za 2010 lakini sidhani kama walikuwa wa kwanza kutolewa.
Ila South Africa waliweka rekodi kwa kuwa waandaaji wa kwanza kutolewa kwenye round ya kwanza.