Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
France walibeba kombe 1998,walikuwa watetezi 2002 mechi ya kwanza walipigwa na Senegal.hawakuvuka round ya kwanza
Tukiongeza 3 itakuwa safi afu wapigwe na Australia goli 3 nitakuwa na amani hadi 2018
Kwani walikuwa watetezi? Italy ilishinda fainali za 2006 na France walitolewa mapema fainali za 2010.
Watetezi Italy walitolewa kwenye group stages fainali za 2010 lakini sidhani kama walikuwa wa kwanza kutolewa.
Ila South Africa waliweka rekodi kwa kuwa waandaaji wa kwanza kutolewa kwenye round ya kwanza.
upo kumbe bibie,,,,!!
amebaki na mechi ya Uholanzi ambayo nayo atashinda.
Fact;Tanzania haijawahi kufungwa goli 7 katika fainali za kombe la dunia kama spain.
![]()
Facts: Diego Costa alibadilisa uraia na kuwa muhispania....Leo anajutia maamuzi yake
Ukilielewa ni laini kama maini miss chagga
Wamejikwaa hajaaanguka wale bado chuma cha puwa wala usikonde.
leo upo upandegani mkuu[MENTION] Bantu lady[/MENTION] ?
yes...walikuwa watetezi mwaka 2002 after winning 1998....