Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
mpaka sasa kwa ujumla tunaweza sema 7pain
Tukiongeza 3 itakuwa safi afu wapigwe na Australia goli 3 nitakuwa na amani hadi 2018
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpaka sasa kwa ujumla tunaweza sema 7pain
Gem ipo 00:00 hao mabeberu wazinguaji tu.
France walibeba kombe 1998,walikuwa watetezi 2002 mechi ya kwanza walipigwa na Senegal.hawakuvuka round ya kwanzaKwani walikuwa watetezi?
Fact;Tanzania haijawahi kufungwa goli 7 katika fainali za kombe la dunia kama spain.
mpaka sasa kwa ujumla tunaweza sema 7pain
Aah leo nipo kwa Chile miye...my wii atakuwa anaweka vitu in order kwanza ndio aje
Hapo bado.....Ngoja niendelee kutizama mtinange huenda nitaona...
Haya utaniambia kesho nani kashinda.. bye chile atacheza na nani tena?
France walibeba kombe 1998,walikuwa watetezi 2002 mechi ya kwanza walipigwa na Senegal.hawakuvuka round ya kwanza
Nipo my wii, #teamChile # pamoja.
Fact;Tanzania haijawahi kufungwa goli 7 katika fainali za kombe la dunia kama spain.
Nakwambia toka timu yangu ya moyoni, kutoka draw sina hamu. Itafanya mambo yawe magumu.
Alonso alikuwa na kadi labda kahofia atapigwa red.Spain bana..yaani kocha ka panic kumtoa Alonzo