World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wanachofanya Chile ni kuzuia na kufunga tuu. baasi.
kila wakiingia ndani ya 18 kazi yao ni kufunga tuu.
Tofauti na Spain.
 
stats

BqcBPAZCcAApFyi.png
 
Koke kaingia ngoja tuone labda anaweza kuleta nguvu kwenye kiungo.
 
Nakwambia toka timu yangu ya moyoni, kutoka draw sina hamu. Itafanya mambo yawe magumu.


Wamejikwaa hajaaanguka wale bado chuma cha puwa wala usikonde.

leo upo upandegani mkuu[MENTION] Bantu lady[/MENTION] ?
 
Back
Top Bottom