Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mkuu mimi nakupa facts kutoka reliable source!
Ningekua Tores nisinge ingia.
Mtani nasikia ulitekwa.....
Torres ndani diego nje!
Yani wanasubili wafungwe ndio wanikumbuke!Hahahahaha! Kwanini mkuu?
Walivuliwa ubingwa bila ya kufunga hata goli moja... Afadhali Spain wameshafunga goli.
Wachezaji wa Chile wengi wanacheza ligi za Ulaya