World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sanchez huyu mbona si yule wa Barca?anamiliki dimba dogo hatari?maskini del Bosque utamkumbuka titan wangu Llorente.forward yako mbovu kabisa.
 
Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.
 
ImageUploadedByJamiiForums1403123568.370207.jpgkwa hali hii spain nje
 
Chile kama wamechoka hivi!au ni macho yangu..haya magoli si ya kukosa Vidal!
 
Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.

pole mkuu si ungeenda hata pub kuangalia huko? Au unaogopa mbwa mwitu mtaani kwako?
 
Back
Top Bottom