mabesela
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,294
- 680
Mhh kumbe German na Holland wanatoka America??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wanasubili wafungwe ndio wanikumbuke!
Unge funga mtani.Casillas kama karogwa, anadaka kama anacheza rede ningetupiamo kamoja lazima hahahahaaaa, kama rahisi vile
Wanasikitisha sana, hawana plan B.Spain wameshindwa kabisa kufika kwenye zone ya Chile.
Teeh teeh au Mecco.Spain wanacheza kama maji maji
Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.
Kwa kweli hata Mimi Leo sijui kama hawa viumbe watakatiza! Timu nzima wanaumwa degedege kama siyo Dengue!
Hadi wewe everlenk.... nilijua niko na Bulldog tu
Siipendi #5pain asee
#teamSanchez
#teamChile vamos
Spain wanacheza kama maji maji
Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.
Spain bado ni timu nzuri na
muda bado mwingi wa kufunga moja na labda kurudisha. Tusiandikie mate,
tusubiri 90
Unge funga mtani.
Mtani hivi Cassilas hakuwai kuchezea Mtibwa?