World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Costa ni garasa kwenye system ya Del Bosque.
Angechezea Brazil saa hizi angekuwa anaongoza kuvuna magoli
 
Hawa jamaa wanacheza kijambazi kweli! Yani wanajua kufunga tu.
 
Costa ni kubeba abiria kwenda kwenye ngoma Msanga, mpira achia Chile na Uholanzi.
 
Walivuliwa ubingwa bila ya kufunga hata goli moja... Afadhali Spain wameshafunga goli.

Bado haisaidii. At least mechi ya mwisho ya France ilikuwa na umuhimu kama wangeshinda.

Lakini kama Spain wakifungwa leo, mechi yao ya mwisho itakuwa ni useless hata kama wakishinda.

Watavunja rekodi iliyowekwa na France fainali za 2002.
 
Kwa wachezaji walionao Spain, kwa kweli Vincent del bosque afukuzwe ameishiwa mbinu
 
Back
Top Bottom