World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sanchez huyu mbona si yule wa Barca?anamiliki dimba dogo hatari?maskini del Bosque utamkumbuka titan wangu Llorente.forward yako mbovu kabisa.
 
Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.
 
Chile kama wamechoka hivi!au ni macho yangu..haya magoli si ya kukosa Vidal!
 
Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.

pole mkuu si ungeenda hata pub kuangalia huko? Au unaogopa mbwa mwitu mtaani kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…