Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Spain wanatia huruma jamani
Chile wamechoka aisee,,,,Chile kama wamechoka hivi!au ni macho yangu..haya magoli si ya kukosa Vidal!
Nimegundua Casillas anafungwa sana sababu hatumii godoro la tanfoam #teamSpain mnunulieni kipa hili godoro
Viva #teamChile
Duh, Wabongo bhana! Hivi mpaka leo tatizo la umeme halija tatuliwa bado?Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.
Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.
Wakajipange upya wavunje hii timu waichukue ile timu yao ya vijana.Wanasikitisha sana, hawana plan B.
pole mkuu si ungeenda hata pub kuangalia huko? Au unaogopa mbwa mwitu mtaani kwako?
Tokea euro cup 2008,imechoka,inabidi waunde team mpyaile midfield ya Spain iliyokuwa inasifika duniani kote ipo wapi? tangia nianze kuangalia hii mechi dakika ya 52 naona kama vile Chile wana control midfield, sijui wenzangu mlioanza kuungalia tangu mwanzo mnaonaje?
Haha asee!!waliingia na kauli mbiu ya ushindi!!sasa ni kauli mbiu ya Draw!!
Chile wamechoka aisee,,,,