World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tores baba, Nakuomba unisaidie hii Aibu nitaiweka wapi? Umesikia eeh!!!

1403123388076_lc_galleryImage_Spain_manager_Vicente_del.JPG
 
ile midfield ya Spain iliyokuwa inasifika duniani kote ipo wapi? tangia nianze kuangalia hii mechi dakika ya 52 naona kama vile Chile wana control midfield, sijui wenzangu mlioanza kuungalia tangu mwanzo mnaonaje?
 
Nnavyosoma hizi post inaonesha mnaoangalia live mnafaidi sana, Asante sana tanesco kwa kutunyima uhondo.

Bado waheshimiwa wa tanesco hawajarudisha umeme?

Yeah hapa tunashuhudia bingwa mtetezi Oops aliyekuwa bingwa mtetezi akitolewa kwa kufungwa na Chile
 
ile midfield ya Spain iliyokuwa inasifika duniani kote ipo wapi? tangia nianze kuangalia hii mechi dakika ya 52 naona kama vile Chile wana control midfield, sijui wenzangu mlioanza kuungalia tangu mwanzo mnaonaje?
Tokea euro cup 2008,imechoka,inabidi waunde team mpya
 
Carzola? Bora asingefanya sub. Atakimbiakimbia tuuuu kama Willian bila malengo, anao anao anao kwa saaanaaa na huku hana madhara.
This is an act of desperation for Del Bosque
 
Back
Top Bottom