World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Spain wakitolea, itabidi wachezaji wote wapelekwe katika "running with bulls" event. Ni mimi au Ramos anastahili kuwa na kadi mbili za njano hadi sasa?
 
Jamani wakirudisha spain naanza kuwa mshabiki wao rasmi maana .nyumba nzima mi ndo chile na washantimua kuangalia mana nliwaambia leo mfungwe au mdroo ushindi msahau
Nini kurudisha! Hilo lakufutia majasho tu hawalipati
 
Spain about to be out of the World Cup 😅😅😭😅
 
Maskini Carzola,anajipiga chenga mwenyewe anaanguka mwenyewe beki anamtazama tu na kuchukua mpira taratibu!
 
16th round first 2 matches zinaweza kuwa hivi
Brasil vs Chile
Netherland vs Mexico
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…