Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh hii nayo mpya na kali kuliko..!!
Mtani mi nashangaa spain hizi tabia za Taifa stars sijui wamezitoa wapi?Dah naona huruma kwa Spain, hawakutegemea wala kutarajia haya waliyoyapata. Safari hii haikuwa bahati yao.
Carzola? Bora asingefanya sub.
Eeh mkuu maana statistic yako ilinitisha Jana
Ila naona baadae tuko pamoja
"Possession without scoring goals is useless" - Franz Backenbauer
Kwa Australia haha!!
Wangepitisha harambee ,na Vodacom,CRDB na mashirika mengine wangechangia ile faida wanayopata,watu wangeendaHivi Tanzania wangeingia fainal za kombe la dunia mashabiki wetu wangeweza kweli kwenda kuangalia hizo fainali tulivyochoka, au wageenda kina Rage tu.