World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hii chile mnayoishabikia, ingawa inaweza kuvuka hii hatua ya awali (kama wakishinda mechi hii) lakini mechi yake na uholanzi mtaigeuka......Nisimuone mtu kujiita TeamNetherland.
 
Na wakija kufungwa na Australia ndo itakuwa kichekesho,acha wafungwe waliota mapembe mno
 
Reactions: EMT
Dah naona huruma kwa Spain, hawakutegemea wala kutarajia haya waliyoyapata. Safari hii haikuwa bahati yao.
 
Kwakweli hata miss chagga angecheza leo lazima ange wafunga spain.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Tanzania wangeingia fainal za kombe la dunia mashabiki wetu wangeweza kweli kwenda kuangalia hizo fainali tulivyochoka, au wageenda kina Rage tu.
 
Spain wakitolea, itabidi wachezaji wote wapelekwe katika "running with bulls" event. Ni mimi au Ramos anastahili kuwa na kadi mbili za njano hadi sasa?


Kuna wachezaji yaani mpaka dakika 90 ziishe hawajapewa kadi unashangaa : Pepe na Ramos
 
Spain wameamka sana now, Ninaamini kama zingeongezwa dakika 25 hivi wangefanya mambo makubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…