World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Golikipa wa Mexico na Golikipa wa Chile watakuwa katika market baada ya mashindano.
 
Dah naona huruma kwa Spain, hawakutegemea wala kutarajia haya waliyoyapata. Safari hii haikuwa bahati yao.
Mtani mi nashangaa spain hizi tabia za Taifa stars sijui wamezitoa wapi?
 
Hata ukisikia Yesu atarudi lakini kwahapa hatasaidia kitu.
 
Hivi Tanzania wangeingia fainal za kombe la dunia mashabiki wetu wangeweza kweli kwenda kuangalia hizo fainali tulivyochoka, au wageenda kina Rage tu.
Wangepitisha harambee ,na Vodacom,CRDB na mashirika mengine wangechangia ile faida wanayopata,watu wangeenda
 
Kweli refa na Blatter wanataka kuibeba Spain 6 minutes extra time
Ila ndo tunapiga mtu cha 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…