Mtani Kipa wa Chile amekula kichuri.Ukitaka kujua raha ya kufunga waangalie Chile, wanawachezesha Spain kama watoto wadogo. Na bado dakika 5, kipa wa Chile ni n.....
australia kwa kiwango walichokionesha leo wanawapiga kabisa 5pain.
Sio leo tu katika mashindano haya yote hawana bahati