World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nimefurahi sana..kuna watu tulibishana sana hapa..tukasema kama watachezesha alonso, bisquets, xavi, casilias..watotoka mapema.. Hao watu wamechoka..wanawaacha vijana kama koke, isco, mata, cazola, munian, pedro..wamestick na watu waliochoka..bado england kwa kunangania wakina gerad, roonie na lampard
 
Mwaka huu wataalam au mafundi niwengi.

Zaidi nimwaka ambao magoli yanafungika sana

Hivyo sio rahisi kiasi hicho.

bado akina mesi, vanmagoli, roben, nk wanakuja kwa speed ya kutisha mkuu

Adios Espana
 
Mauzauza ya first round knockout kwa mabingwa watetezi yanaendelea.
 
I am very happy these racists are given marching orders, It is only that I respect the deceased but their former coach the late Aragones was the deadliest racist in the world of football. Let them go packing.
 
Nafikiri huu utakuwa mwisho wa Alonso,Xavi,Torres na Casilas haya yakawa mashindano yao ya mwisho
 
Sio Mbaya ila Ukweli ni kuwa Spain imeizidi kimchezo Chile katika nyanja zote. Kufunga ilikuwa bahati tu na sio kiwango cha mchezo.

Nawahakikishia Chile haitaenda popote

It doesn't matter maana soka siyo siasa.

Kwenye soka unapigwa tuu regardless ya kiwango chako cha soka.

Kinachofanya soka kuwa excited ni timu ndogo kama Chile kuichapa timu kubwa kama Spain.

Tiki-taka tadaa. Warudi kwao wakacheze na ng'ombe.
 
Hii chile mnayoishabikia, ingawa inaweza kuvuka hii hatua ya awali (kama wakishinda mechi hii) lakini mechi yake na uholanzi mtaigeuka......Nisimuone mtu kujiita TeamNetherland.

Tunaishabikia kwa kuwaondoa mabingwa wa ulaya na dunia. Yatakayofuata ni Chile kivyao.
 
Sio Mbaya ila Ukweli ni kuwa Spain imeizidi kimchezo Chile katika nyanja zote. Kufunga ilikuwa bahati tu na sio kiwango cha mchezo.

Nawahakikishia Chile haitaenda popote
Visingizio vya ki'Taifa stars hivi.
Timu gani mechi mbili inafungwa magoli 7 na inafunga goli moja tuu tena la penalt!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…