Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Labda england ila sio portugal
TATIANA mimi nipo hapa na Mtani Bantu lady anataka kunipa kichuri hapa.
That is future impossible tense.Hivi Cameroon wakibahatika kushinda hii mechi ina advantage kwao kivipi??
Next to fall will be Italy.
Spain = Manchester United hahahahahaha
Chile mmenipa raha ya mashindano mana kipigo kimetoa timu mbili,
Spain = Manchester United hahahahahaha
ume bett nin mkuu? Hz huwa kauli za watu wa betting
Mtani me nasubiri hapa nawashauri Spain wamsajili Ngassa.Nikikupa kichuri utalowea Musoma bure mtani wangu Ruttashobolwa, nitakuonjesha kidogo sana.
Duuuh byebyebye spain mpk 2018 hp 2nwz waona tena!!!!!!!