World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

biscuit has got served, amefanya simulations nyingi sana tangu apate namba uefalona na la furia roja(kuanzia zile na thiago motta na pepe), ile miss itamuhaunt maisha yake yote
 
Hahaha Spain uozo kuliko timu za Afrika. Mliokuwa mnasubiri timu za Afrika zitoke ndo mhamie Spain sasa hivi mtakuwa mnataka timu za Afrika ziendelee au sio?
 
Italy ni kweli haeleweki,hivyo msimtabirie matokeo kabisa,usiseme atatoka kirahisi tuu,Italy HAELEWEKI KABISAA!
 
ume bett nin mkuu? Hz huwa kauli za watu wa betting

Sio mtu wa ku-bet mimi. Nilikuwa nazingatia uzuri wa wachezaji waliopo katika timu yao, na muda ulikuwa mwingi. Anyway, vizuri wametolewa.
 
Siku zote ukimuona Italy anasuasua mwanzoni,subiri umuone mwishoni.
 
Back
Top Bottom