Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Mtani me nasubiri hapa nawashauri Spain wamsajili Ngassa.
Hao cameroon wala siwaangalii.
Na hapa tupo pamoja
Holland = Man Utd
Ngoja sasa tuwaangalie Waafrica wenzetu ila mhh
Ngoja Van Gaal atue,naskia Wenger anamtaka Cleverley
Ndo watakavyoondoka ccm siku moja
Subiri utakavyoona watakavyovuliwa chupi nao.Aah wapi!
Mhhhhhhhhhhhh!!!!!
Yankees wakibahatisha ni tabu kweli kweli....!walikuwa wanamsubiri Klinsman achemshe game ya kwanza wamshutumu kumuacha Dempsey
Subiri utakavyoona watakavyovuliwa chupi nao.
Yankees wakibahatisha ni tabu kweli kweli....!walikuwa wanamsubiri Klinsman achemshe game ya kwanza wamshutumu kumuacha Dempsey
Mabingwa wa kombe la dunia msimu uliopita 2010 wametolewa leo rasmi ktk ha2a ya mwanzo ya makundi.ni timu ya pili kuaga mashindano haya baada ya australia waliopo kundi moja kuyaaga