World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Holland = Man Utd

Ngoja sasa tuwaangalie Waafrica wenzetu ila mhh

Ngoja Van Gaal atue,naskia Wenger anamtaka Cleverley

Hahaha nakubali LVG atawafanya mmshinde mechi mbili za mwanzoni baada ya hapo mtarudi mlipotoka kama kitachofuata kwa Holland round of 16. Wenger anaweza kumbadili Cleverly kuwa young Iniesta. Lakini kama tukimnunua Cleverly tutakuwa tunarudi nyuma hatua mia tano.
 
Hahaha Spain uozo kuliko timu za Afrika. Mliokuwa mnasubiri timu za Afrika zitoke ndo mhamie Spain sasa hivi mtakuwa mnataka timu za Afrika ziendelee au sio?

Mwanafunzi wangu unatega kuja darasani eeh? rubaman na mbona leo Pazi sijamuona kulikoni? Au ni team Spain anaugulia kufungashwa virago.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu humu anasema next to fall will be italy,well,lets wait and see ila namshauri asipende kubashiri matokeo ya Italy kwa sababu ITALY HAIELEWEKI siku zote.usiseme itafungwa au kushinda.subiri matokeo.mie shabiki wa Azurri,kiwango chao mechi ya kwanza hakikuniridhisha kabisa,ningeweza kusema wanatoka ila hawa jamaa wana character moja sumbufu,HAWAELEWEKI.
 
Eto'o on the bench & could be used in tonight's match against Croatia despite knee injury
 
Yankees wakibahatisha ni tabu kweli kweli....!walikuwa wanamsubiri Klinsman achemshe game ya kwanza wamshutumu kumuacha Dempsey

Dempsey si ndio kafunga goli juzi,aliyeachwa ni Donovan
 
Timu ya taifa ya spain imevuliwa rasmi ubingwa baada ya kuchapwa mabao 2:0 na chile. kwa matokeo hayo, haiwezi kuendelea mbele kwenye hatua ya mtoano.
 
Yankees wakibahatisha ni tabu kweli kweli....!walikuwa wanamsubiri Klinsman achemshe game ya kwanza wamshutumu kumuacha Dempsey

ebana kila siku na kila Tv hata za kidini na vikatuni wanaongelea huu ushindi. majuzi walikuwa wanashangaa imekuwaje
timu ya Afrika. Jamaa michosho kinoma, wanashangilia kama vile wamebeba kombe. mechi zilizobaki zote watapigwa ubaya wa aibu.
 
Mabingwa wa kombe la dunia msimu uliopita 2010 wametolewa leo rasmi ktk ha2a ya mwanzo ya makundi.ni timu ya pili kuaga mashindano haya baada ya australia waliopo kundi moja kuyaaga


Haishangazi sana kwani Spain wako too predictable na ile style yao na sasa the rest of the world has caught up with them, thus, making Spain look ordinary.
 
Back
Top Bottom