well done white mother..Long walk to freedom.
Poor black mother.
Kwa mchezo huu waliocheza leo 100% watampa sifa Neymar za hat trick yake ya kwanza
Mh hakika Africa tuna safari ndefu tuna fungwa tuu pole kwa Cameroonian
dah tusubiri tuone maaana #teamafrica presha tupu
Mkuu unajua Deschamp akimng'ang'ania Pogba wake kesho wanakaa kwa Uswis?
Pogba anang'aa Juve sababu anacheza na wachawi wa soka!Hapa kuna Pirlo pale kuna Marchisio na kushoto kwako yupo Vidal Arturo hata Chuji wa Taifa Stars angekuwa mtamu tu!
Toa Pogba aanze Mavubha na Matuidi hapo watashinda
Ngoja tuone maana me wote hawa naona soka lao linafanana ila huyu pogba ndo bado kabisa anajifanya staa sana