born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,336
- 1,491
Me, nilivyoona SONG kapewa kadi ya nyekundu tu, nikazima na luninga yenyewe.
Me, nilivyoona SONG kapewa kadi ya nyekundu tu, nikazima na luninga yenyewe.
Germany wazuri kuliko Holland.hali ni mbaya sana mwaka huu wa kombe la dunia,jana uholanzi ile waliponea chupuchupu aise australia waliwabana !!!!!na game pia walicheza duu ila natamani uholanzi ikutane na mjerumani looo game litakuwa balaa hilo
Germany wazuri kuliko Holland.
hali ni mbaya sana mwaka huu wa kombe la dunia,jana uholanzi ile waliponea chupuchupu aise australia waliwabana !!!!!na game pia walicheza duu ila natamani uholanzi ikutane na mjerumani looo game litakuwa balaa hilo
hapa ndo patamuUngeipeleka hii mada katika jukwaa husika ingependeza sana!
Afadhali ulivyokwenda kulala ila ulikosa kitu kimoja tuu wabeba vyuma wa Yaounde walitaka kupigana wenyewe kwa wenyewe uwanjani wakati game inaendelea
Na kweli.na kombe hili mwaka huu mjeruman anabeba
Afadhali ulivyokwenda kulala ila ulikosa kitu kimoja tuu wabeba vyuma wa Yaounde walitaka kupigana wenyewe kwa wenyewe uwanjani wakati game inaendelea
Kwa jinsi Waafrika tulivyo, unaweza kukuta hizi njemba ziliibiana mademu au mmoja anajitapa kwamba alichezea timu kubwa za Ulaya kuliko mwenzake au ni maarufu kuliko mwenzake na asiambiwe/kukosolewa kitu
Doh, nilikuwa sijaipata hii issues. Lakini hii timu ya Cameroon ni dhahiri kuna kitu kinachowaumiza behind the scene. Jamaa wote walikuwa kama wameokotana mitaani, ukiingalia sio kama walikaa pamoja muda mrefu wakaoelewana, hawakucheza kitimu wala nini. Nakubaliana na mdau aliyesema timu za Afrika zipunguzwe tena. Hii itakuwa World Cup ya mwisho kufuatilia timu za Afrika hadi siku Taifa Stars ikiingiza mguu kama vile itatokea maishani mwangu lol.
BREAKING: "If Cristiano Ronaldo plays in this World Cup, the injury could end his career." - Portugal's doctor